0756066256
info@standrew-dar.or.tz
Tovuti ya kanisa

Tumsifu yesu kristo

Karibu katika tovuti ya kanisa, kwa taarifa, historia na matangazo mbalimbali tumsifu Yesu Kristo!

Matoleo Kidigitali

Unaweza kutuma maombi ya misa parokiani, na matoleo kwa simu yako.

Inapotokea umechelewa kufika parokiani na unahitaji kutuma maombi ya misa utakamilisha kwa kutumia mfumo huu. Tumsifu Yesu Kristo!

Matukio na Picha

Fuatulia Taarifa, na Pakua picha hapa

Kwa taarifa na picha za matukio mbalimbali ya Parokiani utapata hapa na hivo kuweza kupakua (download) kwa simu yako. Tumsifu Yesu Kristo!